Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Waswahili wanasema mkaa bure sio sawa na mtembea bure. Hii Ni moja Kati ya misemo yenye maudhui sana.
Moja Kati ya Maana zake ikimaanisha kuwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu huu kunaweza kukufanya Ujifunze Kitu fulani.
Je, Tangu Uanze kuzunguka katika sehemu mbalimbali humu ulimwenguni ni kipi ulichowahi kujifunza kuthibitisha huu msemo?
Binafsi sikuwahigi kuamini ile biashara ya take away kwa wadada
Sikuwahi kuamini kuwa kuna sehemu watu hawana kabisa imani za kidini.
Na Mengineyo ya kustaajabisha