Tembea Ujifunze...

Amna incidence yoyote ya ajabu watu tumeshuhudia jamii ya Cannibals wanakula watu wanatoa utumbo tu wanapewa Mamba mbupu zinachomekwa stick kama mishkaki inarostiwa...
Wakati wewe unashuhudia hao macannibal walikuwa wapi mpaka waka kuacha salama mkuu !?
 
Cannibals uliwaona wapi mkuu!? Au ndo chai na soseji mbili[emoji3]
 
Wakati wewe unashuhudia hao macannibal walikuwa wapi mpaka waka kuacha salama mkuu !?
Hyo ni jamii ya watu wanakaa malawi kule kukiwa na njaa kali huwa wanamuangalia mwenzao mgonjwa ambae siku za kuish zinahesabika then wanamgeuza kitoweo
 
Wewe umewahi shuhudia hilo au umepewa simulizi tu
 
Hyo ni jamii ya watu wanakaa malawi kule kukiwa na njaa kali huwa wanamuangalia mwenzao mgonjwa ambae siku za kuish zinahesabika then wanamgeuza kitoweo
Malawi hii ya Afrika ina Cannibals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…