Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
lete story hiyo bhanaHahaa ila watu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lete story hiyo bhanaHahaa ila watu aisee
Wakati wewe unashuhudia hao macannibal walikuwa wapi mpaka waka kuacha salama mkuu !?Amna incidence yoyote ya ajabu watu tumeshuhudia jamii ya Cannibals wanakula watu wanatoa utumbo tu wanapewa Mamba mbupu zinachomekwa stick kama mishkaki inarostiwa...
Cannibals uliwaona wapi mkuu!? Au ndo chai na soseji mbili[emoji3]Amna incidence yoyote ya ajabu watu tumeshuhudia jamii ya Cannibals wanakula watu wanatoa utumbo tu wanapewa Mamba mbupu zinachomekwa stick kama mishkaki inarostiwa...
Hyo ni jamii ya watu wanakaa malawi kule kukiwa na njaa kali huwa wanamuangalia mwenzao mgonjwa ambae siku za kuish zinahesabika then wanamgeuza kitoweoWakati wewe unashuhudia hao macannibal walikuwa wapi mpaka waka kuacha salama mkuu !?
Hahaa namimi nimeuliza anijuze atiCannibals uliwaona wapi mkuu!? Au ndo chai na soseji mbili[emoji3]
Wewe umewahi shuhudia hilo au umepewa simulizi tuHyo ni jamii ya watu wanakaa malawi kule kukiwa na njaa kali huwa wanamuangalia mwenzao mgonjwa ambae siku za kuish zinahesabika then wanamgeuza kitoweo