Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
siku zote najua ww ni boy kumbe ni girl [emoji15] hahaaahahaa*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_
Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia*_
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
wananaume wanabebaga mimba lolz*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_
Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia*_
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_
Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia*_
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nitake radhi bint [emoji15] [emoji15] [emoji15]siku zote najua ww ni boy kumbe ni girl [emoji15] hahaaahahaa
Unamaanisha nn mkuu Alan?dk 10 , thread 10, JF ya mwendo kasi hiyo...
jaman dear siumesema unamimba miez 6[emoji15] [emoji13]Nitake radhi bint [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yaani wewe .... ntake radhi bana, we hujaona nimetanguliza heading "TEMBEA UONE"jaman dear siumesema unamimba miez 6[emoji15] [emoji13]
nisamehe mwayaYaani wewe .... ntake radhi bana, we hujaona nimetanguliza heading "TEMBEA UONE"
kwani wewe ni girl?siku zote najua ww ni boy kumbe ni girl [emoji15] hahaaahahaa
Ucjali mwaya!nisamehe mwaya
Mpe mumeo banaaaa....aaaaargh ! Acha uchoyo bidada.
Kwa ushauri tu kidogo ni kwamba inategemea na afya yako. Mwili wako ndio unaotakiwa u-regulate na kupima kiasi/kiwango cha kupeana. Usifanye zaidi ya unavyoweza kuhimili...obey mwili wako na mumeo naamini ataliheshimu hilo.
Vinginevyo, if all other parameters za ujauzito salama ziko ok, then butuaneni tu...hakuna madhara yoyote bidada. But ukihisi shida yoyote nenda hospitali kama ilivyokawaida kwa mimba na matatizo ya kiafya. Usisahau kwenda clinic ya wajawazito eh
ndiokwani wewe ni girl?
mtake radhi mwenzioMpe mumeo banaaaa....aaaaargh ! Acha uchoyo bidada.