muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,001
mtake radhi mwenzio
Ha ha haaah eti nifanyeje happymwashi !¿! Simtaki radhi wala nini...ajilaumu mwenyewe kwa kutonyoosha thread yake mwenyewe. Mimi nishamwaga ushauri wangu na kusepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtake radhi mwenzio
"Butuaneni tu" Haaaaaaa........ other wise bonge la ushauri kwa bi dada!
[emoji15] [emoji1] [emoji1]Huyo demu nae anaeomba huo ushauri kidogo ana dalili za kua mtambo au kuna fuse kichwani zimekata..
Sasa huko kugongwa ndo mtoto tumboni apate mimba?? Huu ni uki.laza uliopitiliza. Ukil.aza wa mwendokasi.
HAYO MAMBO MWAMBIE AKAULIZE KLINIKI., NDO WATAMPA USHAURI SAHIHI WA KUINGILIANA KIMWILI NA HUYO MUME WAKE
Ila huyo demu ni ki.laza ile mbaya , cjui hata kama anajuaga anaingia period tarehe ngapi... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_
Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia*_
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji
"Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako"
Mume akamjibu,
"Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
[emoji23][emoji23][emoji134]
basi njoo PMndio
stakibasi njoo PM
mhstaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]staki
Labda ni wale waliojipiga risasa kule ktk kasino lao.siku zote najua ww ni boy kumbe ni girl [emoji15] hahaaahahaa