TEMBEA UONE !!!

TEMBEA UONE !!!

Huyo demu nae anaeomba huo ushauri kidogo ana dalili za kua mtambo au kuna fuse kichwani zimekata..

Sasa huko kugongwa ndo mtoto tumboni apate mimba?? Huu ni uki.laza uliopitiliza. Ukil.aza wa mwendokasi.

HAYO MAMBO MWAMBIE AKAULIZE KLINIKI., NDO WATAMPA USHAURI SAHIHI WA KUINGILIANA KIMWILI NA HUYO MUME WAKE

Ila huyo demu ni ki.laza ile mbaya , cjui hata kama anajuaga anaingia period tarehe ngapi... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji15] [emoji1] [emoji1]
 
Ebu fanya umpe bana....
Ila mwambie nae ajaribu kukugonga kistaarabu maana anaweza akamsumbua mtoto tumboni
 
*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_

Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia*_

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji
"Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako"
Mume akamjibu,
"Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
[emoji23][emoji23][emoji134]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mke aliamka saa nane za usiku kakuta
mumewe hayuko kitandani,akamkuta
yuko sebuleni akiwa na mawazo tele;
MKE: Jamani vipi tena usiku huu? MUME: Unakumbuka siku baba yako
alipogundua una mimba yangu
... nakunilazimisha
nikuoe au la atanifunga miaka kumi?
MKE: He kumbe ndio unalokumbuka?
MUME: (huku machozi yakidondoka) Kama ningekukataa leo
ningekuwa huru natoka jela.
 
Unachekesha walionuna, mimba itapataje mimba tena. Ile mwanamke apate mimba ni lazima apevuke
 
Back
Top Bottom