Tembea uone

Tembea uone

Imagine una puu kwenye chumba hicho, si kila saa unakuwa na hamu ya kwenda ku puu
bf301c0bfcded6b021ba10fe862dd768.jpg
 
Hii ni starehe moja Safi Sana ,tana ikiwa hutumii nguvu kusukuma tumbo likiwa vizuri.
Binafsi hii starehe huwa nafanyia nyumbani tu,ni nadra Sana ninapokuwa na shida au matatizo ndio natumia vyoo vya ugenini,Binafsi ata gari napanda Kama nauli ya 500 kurudi home chapu nikafanye starehe yangu.

Kwanza naendaga na taulo na simu,Nikifika taulo nalitundika nabaki na Suti ya Mungu,Kipindi cha magazeti nayo nilikuwa naenda nayo yakiwa na story nzuri acha tu mpaka natamani yanibane kila Muda
 
Mimi mawazo yangu bora kabisa ya kimaendeleo huwa nayapata muda huo. Nakuwaga na session ya qn n ans
 
Nimeanza kusoma kwa sauti hapa mwenyewe Kumbe ni upupu
 
Back
Top Bottom