Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

Charles Ignatio

Senior Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
133
Reaction score
52
nida.JPG
 
Attachments

  • nida.JPG
    nida.JPG
    72 KB · Views: 69
ndio kawaida yao hawajawahi kuwa accurate, pia mfumo wao uko down
Si kweli jomba Mimi naona hapa mfumo uko vizuri na huduma inapatikana..wewe utakuwa na tatizo la bando au simu yako si simu..kiswaswadu nacho eti unatumia kuangalia mtandao..uliza kwa wazoefu wakuelekeze jomba
 
Kauli yako si ya kiungwana
 
Kitambulisho muhimu wameweka ugumu mwingi kukipata halafu cha kura unapata siku hiyohiyo
 
Nilichokutana nacho,"Orodha itawekwa hivi punde".

Hakuna hata jina moja mtaa ule
 
Naambiwa tangu juzi

This site can't be reached
 
Kuna mapungufu kwenye mfumo huo.
Nimejaribu kuangalia Mkoa wa Geita . Bahadhi ya Maeneo yamerudiwa mara mbilimbili ili hali kata ni mbili. Yaani Eneo moja limetokea kwenye kata Mbili. Mfano Kalangalala kata ndani yake imeinigia Mwatulole , Ibolelo, Iseni etc.
 
Back
Top Bottom