Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,973
- 6,847
Alisemaga marehemu kwamba chadema itakufa akafa yeye, kuwa na akiba ya manenoKwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.
Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali