Alisemaga marehemu kwamba chadema itakufa akafa yeye, kuwa na akiba ya manenoKwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.
Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Ulisema Chadema hawatofika wilaya ya Hai Uliona jana lile nyomi ? 🤣Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.
Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Huyo ni sehemu ya utumbomchukueni na lissu kwa mtazamo wa pembe za tembo
Hv kwl Lissu awe Rais, Heche PM, mawaziri wawe km kina Lema, hiyo itakuwa ni nchi au ni kituko gani? Kweli mwehu hawezi kujitambuaChadema nani ana akili? Wengi ni maboga tu
Asante Kwa busara hii! Nimefurahi sana,nchi yetu sote.Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.
Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Hao wengine ni uma wa kulia chips..Chaumma?