JF,
Hii imekuwa kero kwa raia wa nchi hii kutoka mikoa mbali mbali.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti taarifa za tembo kuvamia makazi na mashamba ya watu na kusababisha madhara kwa mali za watu na uhai wao.
Mikoa ya Ruvuma, Tanga na Manyara kero hii ni kubwa mno,, wananchi hawana amani na makazi yao.
Tembo wanavamia, wanakanyaga watu na kufa.
Hii inatokana juhudi za serikali kufanikiwa kudhibiti ujangili na uwindaji haramu wa tembo iliyopelekea tembo kuzaliana kwa wingi kupita kiasi.
Huu ni wakati rasmi sasa serikali iwavune tembo hao ili kubalance uwepo wao huko maporini ili kunusuru maisha ya watanzania.