We zinakutosha kabisa, yaani namaanisha zimo? Unaachaje kuhusisha na chama huku hela zilichotwa kwa ajili ya kampeni ya chamaKi ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.
Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.
Wananchi changeni hizo hela mlikula kwani huyu mama aliwapa ili mmepe kura zenuMwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.
Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama
Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio
Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa
Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.
Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.
Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.
Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.
Afate nini? Kazoea kusifia tuYule mpuuzi Kawe Alumni simuoni hapa
Ndionwanachama wa CCM haoKuna mtaa mmoja temeke, waliopitwa bila ya kupingwa jamaa ambaye ndo mwenyekiti inasemekana ni mwizi wa kwenye godowns.. Wajumbe mmoja anauza gongo, mwingine bangi, na mwingine anauza unga.. Hapo kabla ya uchaguzi, Polisi ndo walikuwa nyumbani kwao hapo..
Na wewe nilikuona ulivyokuwa unashiriki kumdunda makwenzi kama ngoma vileMwingine wa huku Pwani siku moja kabla yya kuapishwa akakamatwa live kwenye tukio la wizi... Wananchi walimdunda kishenzi... Kesi yake iko inaendelea mahakama ya mwanzo Kibaha
Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.
Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama
Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio
Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa
Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.
Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.
Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.
Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.
Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.
Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.
Epuka kuweka picha bila ushahidi wa mahakamani, kamasi zitakuja kukutoka.Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.
Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama
Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio
Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa
Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.
Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.
Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.
Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.
Uchaguzi wa ndani ya Chama Mkuu ,binafsi nimeelewa hivyo.Mil 12 ya kameni wakati amepitishwa bila kupingwa
Hahahaha dah! Kaiba bila kupingwaUkishaiba kura na pesa utaiba tu,
Aliowahonga ndio wamefanya figisu kuwaengua upinzani ili aonekane amepita bila kupingwa. Hana akili hizo milioni 12 si angekula yeye tuWenyeviti wa viyi maalumu.. Sasa kampeni walifanya lini wakati Ccm iliwafanya wote biti maalum?
Waliompitisha bila kupingwa kwa kuwafanyia figisu wapinzani lazima wale. Kwa akili za kutumia 12m,lazima ameliwa na vingine huyuMil 12 ya kameni wakati amepitishwa bila kupingwa
On a warm summer's eveMjumbe Mwingine yuko butimba kwa kesi ya wizi wa simu iliyotumika kwenye mauwaji mjumbe wa kirumba kati
Ndo maana ccm walilazimisha wapite bila kupigwa,unadhani hawajui reputation za wanachama wao huku kitaa?Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.