Temeke, Dar: Mwenyekiti wa Mtaa aliyepita bila kupingwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa Tsh. Milioni 12

Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.

Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.
We zinakutosha kabisa, yaani namaanisha zimo? Unaachaje kuhusisha na chama huku hela zilichotwa kwa ajili ya kampeni ya chama
Nakuuliza tena una akili kabisa wewe?
 
Kuna mtaa mmoja temeke, waliopitwa bila ya kupingwa jamaa ambaye ndo mwenyekiti inasemekana ni mwizi wa kwenye godowns.. Wajumbe mmoja anauza gongo, mwingine bangi, na mwingine anauza unga.. Hapo kabla ya uchaguzi, Polisi ndo walikuwa nyumbani kwao hapo..
 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.

Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama

Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio

Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa

Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.

Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.

Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.

Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.
Wananchi changeni hizo hela mlikula kwani huyu mama aliwapa ili mmepe kura zenu
 
Kuna mtaa mmoja temeke, waliopitwa bila ya kupingwa jamaa ambaye ndo mwenyekiti inasemekana ni mwizi wa kwenye godowns.. Wajumbe mmoja anauza gongo, mwingine bangi, na mwingine anauza unga.. Hapo kabla ya uchaguzi, Polisi ndo walikuwa nyumbani kwao hapo..
Ndionwanachama wa CCM hao
 
Mwingine wa huku Pwani siku moja kabla yya kuapishwa akakamatwa live kwenye tukio la wizi... Wananchi walimdunda kishenzi... Kesi yake iko inaendelea mahakama ya mwanzo Kibaha
Na wewe nilikuona ulivyokuwa unashiriki kumdunda makwenzi kama ngoma vile
 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.

Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama

Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio

Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa

Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.

Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.

Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.

Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.

Mtu akisema ccm ni wezi hamna ajabu yeyote maana wizi na uongo ndio sera za ccm.
 
Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.

Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.

Mbona ccm wamekuwa wanaiba kura na kujimilikisha mali za umma ambazo zilijengwa wakati wa chama kimoja?
 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.

Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwa ajili ya kampeni uchaguzi wa ndani wa chama

Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio

Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye mkutano wa Mtaa

Wananchi na hata makada wa CCM wanasema hawamtaki kabisaa.

Huyu pia anatuhumiwa kukwapua milioni 23 za VICOBA halafu akakingiwa kifua na Uongozi wa Kata asipatwe na mkono wa sheria.

Bahati mbaya hiyo hela aliitumia kuwanunua viongozi wa Tawi na Kata kisha akapitishwa kinguvu.

Makada wa CCM walijiandaa kuupigia kura upinzani ili iwe funzo lakini ikala kwao baada ya mama huyu kupitishwa bila kupingwa.
Epuka kuweka picha bila ushahidi wa mahakamani, kamasi zitakuja kukutoka.
 
Wenyeviti wa viyi maalumu.. Sasa kampeni walifanya lini wakati Ccm iliwafanya wote biti maalum?
Aliowahonga ndio wamefanya figisu kuwaengua upinzani ili aonekane amepita bila kupingwa. Hana akili hizo milioni 12 si angekula yeye tu
 
Mjumbe Mwingine yuko butimba kwa kesi ya wizi wa simu iliyotumika kwenye mauwaji mjumbe wa kirumba kati
On a warm summer's eve
On a train bound for nowhere
I met up with the gambler
We were both too tired to sleep
So we took turns a-starin'
Out the window at the darkness
The boredom overtook us,
And he began to speak

He said, "Son, I've made a life
Out of readin' people's faces
Knowin' what the cards were
By the way they held their eyes
So if you don't mind me sayin'
I can see you're out of aces
For a taste of your whiskey
I'll give you some advice"

So I handed him my bottle
And he drank down my last swallow
Then he bummed a cigarette
And asked me for a light
And the night got deathly quiet
And his faced lost all expression
He said, "If you're gonna play the game, boy
You gotta learn to play it right

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser
And the best that you can hope for is to die
in your sleep

And when he finished speakin'
He turned back toward the window
Crushed out his cigarette
And faded off to sleep
And somewhere in the darkness
The gambler he broke even
But in his final words
I found an ace that I could keep

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em (when to hold 'em)
Know when to fold 'em (when to fold 'em)
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done
 
Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.

Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.
Ndo maana ccm walilazimisha wapite bila kupigwa,unadhani hawajui reputation za wanachama wao huku kitaa?
 
Back
Top Bottom