NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
SeenUsisahau kuni CC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SeenUsisahau kuni CC
Duuh! We jamaa mbona unashangilia udhalimu huu?Bado wanne ambao mazungumzo yamekamilika muda wowote watarudi home.
Wengine watatu mazungumzo yanaendelea bado wanamasharti magumu,ila watatubu tu.
Hawa ndo wapinzani wa Tanzania.
Hizi ndo sisa zetu.ndo asili yetu wala akuna jipya hapo.Duuh! We jamaa mbona unashangilia udhalimu huu?
Sawa mkuu. Kila mtanzania anajali tumbo lake. Watu tunajali leo yetu zaidi, kesho yetu ni majaaliwa ya Mungu.Hizi ndo sisa zetu.ndo asili yetu wala akuna jipya hapo.
Makelele yanaonyesha Chadema inashinda , but in reality uchaguz huu ndo utakuwa biggest Chadema nockout , hakuna matumaini yyte ya ushindi Kwa Chadema , wamebak Tu kuvitishia vyombo vya usalama na NEC, mfa maji haachi kutapatapa , but miraculously Chadema escaped total sinking by appointing TL to lead the worst

Mwalimu nyerere alisema " wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya"
Masikini huyu ndugu Hajui anachokiamini amebaki kuham Hama tu.
Ni yeye.
Hivi zile bia aina ya ze kiki na ze bingwa bado zipo?Hana madhara.
Uko sahihi mkuuMakelele yanaonyesha Chadema inashinda , but in reality uchaguz huu ndo utakuwa biggest Chadema nockout , hakuna matumaini yyte ya ushindi Kwa Chadema , wamebak Tu kuvitishia vyombo vya usalama na NEC, mfa maji haachi kutapatapa , but miraculously Chadema escaped total sinking by appointing TL to lead the worst
Ni nani huyo? Ana madhara gani kisiasa? Ila ungesema mtia nia ya ubunge kupita CHADEMA maana mgombea wa Temeka alishapatikana ni mwana mama shupavu!
Mwaka 2010 alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CUF, kutokana na kutofutwa kwa demokrasia, na uchaguzi huu alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CHADEMA.
Kutokana na kuwa Demokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani haipo, leo ameamua kujiunga CCM
Amejiunga katika mkutano wa Mgombea mwenza wa Urais, Samia Suluhu, Kigamboni Dar-es-Salaam
Hizo tabia zilistahili kuonekana kable chama hakijamteua.Mwanaume ukiaanza tu kuwa na tabia za kama Mwanamke 'Malaya' ambapo hutulii na hujitambui, ni dalili Mujarab ya kuja kuwa 'Shoga' mbeleni.
Inawezekana tayari 'anatumika'.Mwanaume ukiaanza tu kuwa na tabia za kama Mwanamke 'Malaya' ambapo hutulii na hujitambui, ni dalili Mujarab ya kuja kuwa 'Shoga' mbeleni.
Watahama wote, subiri uchaguzi uishe maana wengi kwenye ile saccos njaa kali wanaoifaidi wachache mno.