Uchaguzi 2020 Temeke: Kadawi Lucas Limbu, aliyetia nia kugombea Ubunge wa CHADEMA 2020 ahamia CCM

Bado wanne ambao mazungumzo yamekamilika muda wowote watarudi home.

Wengine watatu mazungumzo yanaendelea bado wanamasharti magumu,ila watatubu tu.

Hawa ndo wapinzani wa Tanzania.
Duuh! We jamaa mbona unashangilia udhalimu huu?
 
Kwani hujui kuwa kuna kitu anakitafuta? Mbona hata wewe unajua kuwa kuna kitu anakitafuta. Ngoja ajaribu bahati yake. Hali ya maisha ni ngumu, wachache wanaweza kuvumilia.
 
sitashangaaa wanachama halali wa chadema wakipigia kura ccm mwaka huu! 4 more to go
 
Limbu baada ya kutoka cuf ndo akaenda kuanzisha chama cha ACT ndo wakashindwana na Zitto. Kama karudi kwetu ccm sawa kwani nimaamuzi mazuri kwake
 
Reactions: PNC
Mwalimu nyerere alisema " wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya"

Masikini huyu ndugu Hajui anachokiamini amebaki kuham Hama tu.

Ni yeye.
 
.....and yet maccm are still scared of FREE and FAIR elections. Stop talking using both ends of your mouth.


 
Mwalimu nyerere alisema " wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya"

Masikini huyu ndugu Hajui anachokiamini amebaki kuham Hama tu.

Ni yeye.

Huyu hata sura yake inaonyesha kuwa siyo mtu wa kumwamini kwa lolote!
 
SASA nimeelewa kwanini CHADEMA na ACT hawakuungana kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo. Walijua usaliti utakuwepo tu bora wawe na contigency
 
Uko sahihi mkuu
 
Ni nani huyo? Ana madhara gani kisiasa? Ila ungesema mtia nia ya ubunge kupita CHADEMA maana mgombea wa Temeka alishapatikana ni mwana mama shupavu!
 
Mwanaume ukiaanza tu kuwa na tabia za kama Mwanamke 'Malaya' ambapo hutulii na hujitambui, ni dalili Mujarab ya kuja kuwa 'Shoga' mbeleni.
Hizo tabia zilistahili kuonekana kable chama hakijamteua.
 
Watahama wote, subiri uchaguzi uishe maana wengi kwenye ile saccos njaa kali wanaoifaidi wachache mno.
 
Nakumbuka tu huyu jamaa aligombea ubunge Temeke kipindi hiko tunakaa wote Mitaa ya keko machungwa
Bt hapo katikati Sijui alpotelea wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…