Uchaguzi 2020 Temeke niko tayari kuwatumikia 2020 - 2025

Mgombea wa upinzani akijipanga vizuri jimbo la Temeke na Segerea ni mteremko!

Yani mpinzani akiweza kupanga vizuri hoja za kuhusu wananchi moja kwa moja katika maisha yao ya kila siku hakika atapata wepesi wa kushinda.

Mfano Temeke yule alishawahi kuwa mbunge mara kadhaa je kuna jipya gani aloshindwa kufanya wakati ule ambalo atalifanya Safari hii?
 
Nimejiandaa kuwania Ubunge jimbo la Temeke Jijini Dar es Salaam, kupitia Chama cha MAGEUZI na Ujenzi wa Taifa. NCCR-Mageuzi.

View attachment 1513973
Mkuu mimi ni mkazi wa Temeke Mwembe yanga. Mimi na familia yangu wote tumejiandikisha tunauza kura zetu kama vipi tumalizane tigopesa kaabisa
 
Umekosea sana kugombea hicho chama cha Msaliti Mbatia , sema we jipigie tu hela mliyolipwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…