Mhaini
Member
- Apr 8, 2024
- 70
- 101
Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri.
Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za kulipia hakuna.
Na hela hakun anayejua inaenda kufanya nini.
Maisha haya mtu anakupiga laki mbili from no where. Na ukichelewa kulipa hela inaongezeka
Wamiliki wa vyombo vya moto wanakamatwa kwa kigezo cha Wrong packing. Unapokamatwa wanachukua chombo chako unalipishwa faini ya shilingi laki mbili on spot, na Shilingi 20,000 ya fomu.
Endapo hauna hiyo laki mbili wataendelea kukishikilia chombo chako hadi siku utakapoipata. Zaidi kila siku inapoongezeka na pesa inaongezeka.
Baadhi wanaotoka kutafuta riziki wanapokamatwa UKISHIKWA vyombo vyao wataipataje pesa hiyo kama ndio wezeshi kwaajili ya kujipatia kipato?.
Hela ya Fomu elfu ishirini haiandikwi popote wala hupewi Risiti. Halafu fomu gani elfu 20?wakati kuprint ni mia mbili tu🤣
Lakini pia Waziri Mkuu aliwahi kusisitiza vyombo visichukuliwe ila tu itafutwe njia rafiki ya kuchukua taarifa za mhusika ili akaitafute hiyo faini