Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost.
Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea.
MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu nje mguu ndani na Kigamboni nayo ndio kuvuka masaa mpo baharini inaenda Kama haiendi na hiyo ni Dar es Salaam sijui mikoani kuna hali gani.
Uongozi TEMESA ujitathimini kwakweli.
Akili za mwendazakeWapiga dili sio watu wazuri wameanza tena kuchezea nchi kwa maslahi yao.