A
Anonymous
Guest
Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini hawatoi majibu yoyote.
Kuna kikao kilifanyika mwezi wa tatu mwaka 2024 cha wafanyabiashara wote wanaosambaza bidhaa TEMESA tukawauliza malipo lini Wakawa hawana majibu yaliyonyooka.
Tunaomba Serikali itusaidie kwa hilo maana ni muda mrefu sasa imepita imesababisha kudorora kwa biashara zetu!!