julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi.
Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea kwa miguu, hivyo inawalazimu watu kupenya kati ya magari, na inachukua hadi dakika 15 kuingia kwenye pantoni. Si mliambiwa na Waziri Bashungwa kuhusu hili?