Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma.
Soma pia:
Kupita chapisho lao TEMESA imedokeza kuwa marekebisho yanaendelea na huduma inatarajiwa kurejea tarehe 28 Oktoba 2024 ambapo abiria waliolipa nauli kwa safari ya tarehe 22 Oktoba 2024 watarejeshewa malipo yao.
Ujumbe wao uko hapa chini: