Kuandika Taarifa kama hivi unalipwa?Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma.
Soma pia:
Kupita chapisho lao TEMESA imedokeza kuwa marekebisho yanaendelea na huduma inatarajiwa kurejea tarehe 28 Oktoba 2024 ambapo abiria waliolipa nauli kwa safari ya tarehe 22 Oktoba 2024 watarejeshewa malipo yao.
Ujumbe wao uko hapa chini:
Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma.
Soma pia:
Kupita chapisho lao TEMESA imedokeza kuwa marekebisho yanaendelea na huduma inatarajiwa kurejea tarehe 28 Oktoba 2024 ambapo abiria waliolipa nauli kwa safari ya tarehe 22 Oktoba 2024 watarejeshewa malipo yao.
Ujumbe wao uko hapa chini:
Yaani hapo ndipo uwezo wao wa kufukiri ulipo ngonga mwisho right....🤨
So wananchi waendelee kuteseka kwasababu TEMESA imekosa mbadala wa kuendelea kutoa huduma right...🤔
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Wameshindwa kutengeneza usafiri wa uhakika kwa miaka yote zaidi ya hiko kivuko kimoja kwa ajili ya "geresha bwege" kikiharibika shida inarudi palepale!
Mawazo yako tunashabiana,Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana kama sisi "binadamu" weusi ni watu halisi au ni aina fulani ya viumbe vilivyofanana sana na hao binadamu halisi!"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.