Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Kumb. 18:18_22
Imeeleza sifa za mtu aliyetumwa na Mungu.
TB. Joshua hajatumwa na Mungu.
Ni ukweli mchungu.
Binafsi ningependa ufafanue ili tukuelewe..

Ni ishara gani kumhusu TB. Joshua zinazom - disqualify asiwe mjumbe wa kweli wa Neno la Mungu (Nabii) na kukufanya uje na hitimisho hili..?

Nimesoma andiko hili ulilokwoti. Kwa faida ya wote naomba niweke mistari hiyo hapa:

Kumbukumbu la Torati 18: 18 - 22

"..18 Mimi nitawandokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. 19 Hata itakuwa mtu asiyesikiliza maneno atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake. 20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena kwa jina la miungu mingine, nabii yule ATAKUFA. 21 Nawe ukisema moyoni mwako, tutajuaje neno asilonena BWANA? 22 Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilonena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope..."


Sasa ungedadavua vizuri muktadha wa mistari hii ya Biblia namna inavyohusika na hoja yako kisha inavyopatana au kupingana na karama ya unabii aliyokuwa nayo TB. Joshua, ningegurahi sana binafsi kujifunza kutoka kwako..
 
Hii habari nina wasiwasi siyo kweli, kuna DINI FULANI INAYOJIPAMBANUA ndiyo ya kweli , ndio waliozusha, haya tusubiri lakini.
 
Habari zilizopo ni kwamba mchungaji maalufu TB JOSHUA kafariki siku ya leo baada ya kutoka kuubili kanisani kwake. Kazi ya mungu haina makosa
 
Wakafikia hatua ya kuomba angalau muujiza utokee. Dah..africa africa africa

Tunashida gan sie.dah
 
Tell me this is not tru😭😭😭
 
Hakuna kifo kiliniuma hapa dunian kama cha magufuli...niseme ukwel.
 
Imani ameilinda. Mwendo ameumaliza . Raha ya mile umpe we Bwana ,na mwanga wa milele umuangazie. Moja ya dalili za mtu matakatifu huondoka duniani bila kuhangaika. Alitoka kanisani akaenda nyumbani akaitwa na Muumba wake. Hajaugua hadi anatapatapa roho kuacha mwili. Akapumzike kwa amani.
 
Kweli kifo hakina huruma, kingesubiri hata bethiday yake. well I hope all the readers of Africa who bereaved and worshipped him will go to his funeral. He will meet Dr. Lwakatare there, Dr. Pombe there and the rest.

I wish Dr. Gwajima will go for his .
ufufuko,
 
 
Mungu atujaalie kuishi kwa imani, kama hizi taarifa ni za kweli basi nitaumia sana, nimejaribu kufatilia Emmanuel TV leo ila sijaona hii habari
 
Nilitaka nishangae mbona mda wote thread ya namna hii haijaletwa humu.

Yote kwa yote apumzike kwa amani mtumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…