Wadau temperature gauge inafika katikati gar ikiwa Ipo parking Na ikipanda mlima,nikianza kutembea let says peed 60+ gauge inashuka,je inaweza kuwa in tatizo gani?
Haina tatizo, fan zinapofunguka temperature huwa inashuka, kikubwa angalia isivuke zaidi ya 90, ikizidi hapo kuna tatizo peleka gari yako kwa fundi na usiendelee kuendesha inapozidi 90