TEMPERATURE GAUGE YA RAV 4 KILL TIME

TEMPERATURE GAUGE YA RAV 4 KILL TIME

super cup

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
212
Reaction score
91
Wadau temperature gauge inafika katikati gar ikiwa Ipo parking Na ikipanda mlima,nikianza kutembea let says peed 60+ gauge inashuka,je inaweza kuwa in tatizo gani?
 
Haina tatizo, fan zinapofunguka temperature huwa inashuka, kikubwa angalia isivuke zaidi ya 90, ikizidi hapo kuna tatizo peleka gari yako kwa fundi na usiendelee kuendesha inapozidi 90
 
Gari iko sawa hiyo,ukiwa hutembei hewa ya kutosha haiingii ndio maana inakuwa hivyo
 
Back
Top Bottom