Templates za 'Business Plan' na 'Financial Reporting' zitakazokusaidia kupata Mkopo au Mwekezaji Kwenye Biashara

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Wakuu salamu,
Ili mpango wako wa biashara (Business Plan) ukubalike na mabenki, taasisi za kifedha, au wawekezaji wakubwa kwenye mradi au biashara yoyote, hauwezi kusimama peke yake. Kuna nyaraka zingine za msingi na muhimu sana ambazo lazima ziandaliwe kwa pamoja hususan mchanganuzi thabiti wa hesabu za kifedha.

Ili kukusaidia kurahisisha mchakato huu, kukuokoa gharama kubwa za kuajiri washauri (consultants), na kukuzuia kuanza kuandika kila kitu upya tangu mwanzo (from scratch), tumekuandalia Templates za Kitaalamu zinazofaa kwa biashara yoyote ile.
Hivi ndivyo unavyoweza kujipatia leo ili kukuza biashara yako:

1. Business Plan Template (Maalum kwa Biashara Yoyote)
Hii ni template iliyopangwa katika muundo wa kiwango cha kibenki na kitaalamu (Corporate & Bankable Standard). Inakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuwasilisha wazo lako ili lieleweke na kuvutia mtaji.

2. Financials Reporting & Modeling Template
Huu ni mfumo wa Excel uliotengenezwa kitaalamu kwa ajili ya kufanya makadirio ya mapato, matumizi, na faida. Hii ndio hati ambayo benki yoyote itaitaka ili kuona kama biashara yako ina uwezo wa kulipa mkopo.

Inachojumuisha: Ripoti ya Mapato na Matumizi (Profit & Loss / P&L Statement), Mzunguko wa Fedha (Cash Flow Statement), Ripoti ya Mali na Madeni (Balance Sheet), na hesabu za lini utaanza kurudisha mtaji (Break-even point).

Faida yake: Fomula zote ziko tayari zimeunganishwa (Pre-formatted formulas). Wewe unaingiza tu namba zako za mauzo na gharama, na mfumo unajipiga hesabu zote zenyewe kiotomatiki!

Kama unahitaji mojawapo ya hizo templates usisite kututafuta.
📞 Mawasiliano yetu ni:
WhatsApp: 0687746471/0747744895
Email: [email protected]

Image.jpg

#BusinessPlan #FinancialModeling
#MchanganuoWaBiashara #FinancialReporting #AccountingTemplates #ExcelTemplates #MpangowaBiashara #Taarifazakifedha #AndikolaMradi
 
Siku hizi investors wengi WA maana wanaomba pitch deck na financial projections
 
View attachment 3598993

Wanaomba vyote vitatu.
Wataomba Pitch deck, Business Plan, na financial projection na hii ndio unaipata kwenye excel ya (Financials Reporting & Modeling) hii ina formula zote wewe ni kupachika mradi wako. Hicho ulicho kisema kinakuja chote kama kilivyo.
 
Back
Top Bottom