tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kwa raia wa kawaida hiki kibanda kinachoitwa Temporary Camp angejenga hata kwa laki mbili lakini kwasababu ni pesa za serikali kimejengwa kwa shilingi milioni 7 za kitanzania
Una maanisha yule MAKAMU? Aliyekumbatia mbuyu pale St. Peters Dar . Hadi machinations kashindwa kuukataInwezekana watu weusi hawakutokana na Nyani ila ni kama Manyani...