tonicimmobility JF-Expert Member Joined Jun 17, 2025 Posts 493 Reaction score 1,040 Aug 19, 2025 #1 Kwa raia wa kawaida hiki kibanda kinachoitwa Temporary Camp angejenga hata kwa laki mbili lakini kwasababu ni pesa za serikali kimejengwa kwa shilingi milioni 7 za kitanzania Your browser is not able to display this video.
Kwa raia wa kawaida hiki kibanda kinachoitwa Temporary Camp angejenga hata kwa laki mbili lakini kwasababu ni pesa za serikali kimejengwa kwa shilingi milioni 7 za kitanzania Your browser is not able to display this video.
blackstarline JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 3,774 Reaction score 9,913 Aug 19, 2025 #2 Inwezekana watu weusi hawakutokana na Nyani ila ni kama Manyani...
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Aug 19, 2025 #3 Waliambiwa wajilie kwa urefu wa kamba zao hapo ndio kamba iliwaruhusu.
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,855 Reaction score 28,752 Aug 19, 2025 #4 Ninapowaambia mtu ukipata upenyo wa kukwepa kodi utumie vyema wengi huwa wananishangaa. Kila mtu sasa hivi anatafuta pa kupiga na na wakiotea wanapiga hasa.
Ninapowaambia mtu ukipata upenyo wa kukwepa kodi utumie vyema wengi huwa wananishangaa. Kila mtu sasa hivi anatafuta pa kupiga na na wakiotea wanapiga hasa.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,992 Aug 19, 2025 #5 Hii ni too much saa!
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Aug 19, 2025 #6 blackstarline said: Inwezekana watu weusi hawakutokana na Nyani ila ni kama Manyani... Click to expand... Una maanisha yule MAKAMU? Aliyekumbatia mbuyu pale St. Peters Dar . Hadi machinations kashindwa kuukata
blackstarline said: Inwezekana watu weusi hawakutokana na Nyani ila ni kama Manyani... Click to expand... Una maanisha yule MAKAMU? Aliyekumbatia mbuyu pale St. Peters Dar . Hadi machinations kashindwa kuukata
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Aug 19, 2025 #7 Watu weusi Wamelaanika
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,508 Reaction score 27,663 Aug 19, 2025 #8 alafu jamaa bwege sana anaionesha kabisa eti ile pale, yaani kama vile fedha imetumiwa vizuri sana
W Wakabambee58 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2020 Posts 1,396 Reaction score 2,052 Aug 19, 2025 #9 Ni agizo . Kila mtu ale kwa urefu wa kamba aliyonayo ili mradi usivimbiwe