Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
Naweka kambi huu Uzi watu wameususaTanzania Airports Authority (TAA) is a Government Executive Agency established to operate, manage, maintain and develop Government owned airports with a commercially oriented Management style. As of implementing its Organizational Structure, TAA hereby invites applications from suitably qualified, creative and results driven candidates to fill the following vacant posts;
Mwakammoja, Deadline ni keshoTemporary ya muda gani
Mwisho wa hilo Tangazo lao wametoa Email address na Postal address, unaweza apply kwanjia yeyote kati ya hizo. Kumbuka Deadline ni 7/9/2023.Hii kazi sioni mahala pa kutuma maombi
Hzo kazi za uwongo .Ukituma kwa email utaambiwa mfumo umejaaa!! [emoji28][emoji28][emoji28]Full ukanjanja kanjanja tu
Ngoja wake wataalam wa hzo mambo maana atuelew mara mfumo umejaa wengine wanaulizia maslahiAnayeijua hii TAA naomba anipe maslahi kuna dogo wangu wakaaply hapo kweny operation officer na pia kaniambia ni kwa mda wa mwaka mmoja ...
Itakuwa poa sana ila kaniambia eti wanafanya kwa mwaka mmoja ila tangazo sijasoma vizuri.Ngoja wake wataalam wa hzo mambo maana atuelew mara mfumo umejaa wengine wanaulizia maslahi
Ni ajira baada ya kuisha mkataba kijana aombe apate tuItakuwa poa sana ila kaniambia eti wanafanya kwa mwaka mmoja ila tangazo sijasoma vizuri.
Hawa jamaa maslahi mengine kama trainings ndio nataka kujua wapoje ?posho pia.!Ni ajira baada ya kuisha mkataba kijana aombe apate tu
Wapo vizuri kuna mwamba alikua anapiga hzo za mwaka mwaka anaishi fresh tuHawa jamaa maslahi mengine kama trainings ndio nataka kujua wapoje ?posho pia.!
Basi vizuri sana ila naona ni nyingi angalau watu wajishikize kwa ,taasisi nyingine zifanye hima kutoa kama hivi..Wapo vizuri kuna mwamba alikua anapiga hzo za mwaka mwaka anaishi fresh tu
Ndugu unachanganya madesa,hawa hawahusiki na ndege kabisa, wao ni Viwanja.Kwa ndege zipi walizo kuwa nazo, kama kuna kitu kina changamoto kusafiri kipindi hiki usafiri wa ndege.
Yaani kucheleweshwa Airport masaa matano ni kawaida. Au kupelekwa hotel mlale ndege itafika usiku ndo muondoke ni kawaida.
Btw hizo kazi ni za watoto wa wakubwa kama huna connection kaa kwa kutulia.
Dah bora ulivyomsaidia aisee maana kuna watu ata uwa awajui wanaandika nin wao ni kuponda tuNdugu unachanga madesa,hawa hawahusiki na ndege kabisa, wao ni Viwanja.