kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kuna watu sijui huwa ni walevi,hawa hawahusiani na ndege.wanaohusiana na ndege ni ATCLKwa ndege zipi walizo kuwa nazo, kama kuna kitu kina changamoto kusafiri kipindi hiki usafiri wa ndege.
Yaani kucheleweshwa Airport masaa matano ni kawaida. Au kupelekwa hotel mlale ndege itafika usiku ndo muondoke ni kawaida.
Btw hizo kazi ni za watoto wa wakubwa kama huna connection kaa kwa kutulia.