Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

Kuna watu sijui huwa ni walevi,hawa hawahusiani na ndege.wanaohusiana na ndege ni ATCL
 
Hizi ni ajira za muda,zinakuwa renewed kila mwaka nadhani,kuhusu maslahi hakuna yanayotosha ila heri upate siku ziende kuliko kukaa kitaa mkavu.
Diploma anachukua 1,040,000 na Degree ni 1,300,000 kwa mwezi.
Hivi salary scale ya TAAS 4 ni shingapi?
 
Jipeni moyo, ila ukweli wale waliofanya USAILI juzi wanakwenda huko huko TAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…