Yes mr, that why you used thisAs I said it a few days ago, the Bible is not the book to read like the way we do when reading about history, geography, science or archeology.
Na yesu mwenyewe alisema: 'Don't throw good food to dogs'.
'the Bible is not the book to read like the way we do when reading about history, geography, science or archeology.'
Na ndio maana nikamiuliza nyie waumini kwamba; again and again
Lugha aliyempa huyo mjumbe wake wa kwanza ni lugha gani?
Mpaka sasa hamna jibu sahihi mliloshika.
Mtu huyo huyo wa kwanza mpaka sasa kuna mashaka mengi kuhusu yeye sasa tutaamini wanaofuata?
Na huyo huyo mnayemuita mungu aki fail myatakayo basi atakua ni devil, huoni kasoro ya post yako?
Kuhusu lugha ni immaterial. Kwa vile sidhani nikisema kilikuwa Kiswahili ndipo utakapoamnini. Cha msingi ni kwamba Mungu anatufundisha ujumbe fulani kupitia Nabii Musa.
Ndio maana mimi nasema kuwa biblical narratives do not reproduce what exactly happened (e.g. God speaking to Moses verbally, no. They are theological reflections - ie they teach/have a message to tell us about God and ourselves).
Na kama 'atail na kuwa devil'... Mungu hawezi ku'fail'. Afterall devil is not a being. It's a personification of evil forces - uongo, chuki, uhasama, ufisadi nk.
Kuhusu ku fail ngoja niwe na muda weekend ndio hivyo
Nitakuja na list kibao kuhusu huko ku fail wakati mungu mnayemtegemea yupo
Weekend njema
Maelezo yako kwenye thread hii, umesema "Moses ndiye aliyepewa amri kumi za Mungu.
Moses alizaliwa {makadirio} miaka 1400 kabla ya kristo.
Moses ndie aliyepewa amri kumi za munguKatika torat ndio wanaosema alionana na mungu macho kwa macho.
Waislamu wanamuita Musa bwana wa mabwana.
Yesu aliwahi kuulizwa je umekuja kuibadilisha torat ya Moses? akajibu sikuja kuibadili bali kuiboresha {kwa maana hio kuongezea machache nakuendelea aliyoacha Moses.
Moses alipewa amri kumi na mungu kwenye jiwe, na lugha iliyotumika wakati ule ilikua Hebrew.
Sasa soma tena swali lako number nne (4), halafu tafuta jibu kwenye thread yako mwenyewe, kama nilivyo quote hapo juu. Je, kuna Moses wangapi walio zungumziwa kwenye hii thread?
Be blessed and enjoy your Christmass and New Year
Answering question number one of darwin kuhusu lugha katika Aseret Hadiberot:
According to the Jewish tradition claims, I repeat, the Jewish tradition claims, that the HEBREW SCRIPT used was Ketav Ashurit (Ikiwa inamaanisha kuwa ni "the classical Hebrew srcipt used in the Scriptures today), and not the older Ketav Ivri (Which was later written [by God] on the second set of the tablets that Moses hewed after he broke the original set)
Sasa, kufuatana na [The Talmud (Hebrew: תַּלְמוּד😉 ambayo ni record ya rabbinic discussions pertaining to Jewish laws, ethics, customs, and history.] The sript God wrote the Ten Commandment was in Ketav Ivri (the older sript), instead of Ketav Ashurit (the divine script that was later restored by Ezra kwa Waisraeli). Hivyo basi, the Talmud Yerushalmi inaelezea kwamba ilikuwa ni Ayin ambayo was miraculously suspended in the tablets, na sio the final Mem and Samekh.
Darasa fupi kuhusu lugha ya Hebrew:
Jina Hebrew (Ivrit) ni jina au lugha ya zamani kuliko zote "World's oldest languages.
Jina hilio linatoka kwa Eber, Mtoto wa kivulana wa Shem;
Shem anaitwa baba wa watoto wote wa Eber (Gen 10:21); and therefore Hebrew descendants are called Semites.
In the Scriptures, Hebrew is used as an adjective to describe Jews who are "from other side" (ikiwa inamaanisha upande wa, of the Euphrates River), Modern Hebrew is called Ivrit.
In Genesis 31:47, Laban and Jacob refer a heap of stones in their native speech. Laban uses phrase "Yegar Sahaduta" which is Aramaic, lakini Jacob anatumia "Gal-Ed" ambayo ni Hebrew.
Wana wa Irasel walipo kuwa utumwani Misri, walitumia lugha ya Ketav Ivri until the Exodus from Egypt. Ambayo ilitumika mpaka mwisho wa Century ya 6 BC, ndipo Ketav Ivri walii replace na the Hebrew square script (Ketav Meruba ambayo inajulikana kama Ketav Ashuri)
Kumbuka kwamba, Ketav Ivri ilitumika wakati wa kipindi cha the First Temple na kama symbol of nationalistic revival in the Second Temple Period.
Hivyo basi, Jews wali adopt the Aramaic alphabet (Wakiwa chini ya uongozi wa Ezra the Scribe), Wasamaritans wao wali held to the original forms of proto-Hebrew, inasemekana ni kwasababu ya kuonyesha wao kama true heirs of Judaism. Kwasababu hiyo basi, Ezra aliamua kuchaguwa Aramaic square script (Called Ketav Ashuri amabayo inajulikana kwa jina lingine kama Ketav Meruba)
Baada ya Babyloniana captivity, Ketav Ashurit was adopted by the Jews (chini ya uongozi wa Ezra the Scribe) na kuiita lugha takatifu au Leshon HaKodesh. Kama nilivyo sema mwanzo, hii ilifanywa ili kujitenga kutoka kwa Samaritanism.
Hivyo basi, Aramaic characters were chosen as the official script for the Torah scrolls in the 5th Century BC (Ushaidi ni ule ulipatikana katika "the Dead Sea Scrolls (DSS) were written during a transitional period where both the older Ketav Ivri script is used with Ketav Ashurit.
Natagemea umenielewa kuhusu utumizi wa lugha ya Ketav Ivri na Ketav Ashurit.
Mwisho:
Modern Hebrew ambayo inatumika leo hii Israel ili derives from Polish-German Jews.
Note: Ladino (Judeo-Spanish) and Yiddish (Judeo-German) both evolved during the middle ages and use Hebrew characters for transliteration ONLY. Ladino uses a Rashi-style script wakati Yiddish wanatumia standard square script.
Kwa wanaosoma lugha ya Ki Hebrania, wameigawanya katika sehemu nne (4).
1. Biblical Hebrew aka Classical Hebrew. By the time of Jesus, Aramaic was the common language, but Hebrew was used in synagogues and in temple worship. Jesus knew and spoke Biblical Hebrew.
2. Mishnaic Hebrew aka Rabbinic Hebrew; Talmud and Midrash ambayo ilitumika kuanzia 2nd Century AD.
3. Medieval Hebrew _ Hii ilitumika kutafsiri Arabic works into Hebrew. Mfano Maimonides and other medievalists.
4. Modern Hebrew- 19th Century to present.
Kingunge darwin unaweza kuleta maswali kuhusu lugha tu. Tukimaliza lugha, tunaingia swali namba 2.
Hebu tuangalie kwanza vitabu vya mwanzoni vya Biblia, ni nani aliviweka katika kimaandishi au alama.
The first five books of the Bible are attributed to Moses and are commonly called the Pentateuch (literally "five scrolls").
Moses aliishi kati ya miaka 1500 and 1300 BC, though he recounts events in the first eleven chapters of the Bible that occurred long before his time (such as the creation and the flood). Tujiulize swali, Moses aliwezaje kuelezea mambo yaliyotokea miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwake?
Hebu tuangali hapa chini:
These earliest accounts were handed on from generation to generation in songs, narratives, and poetry. Kumbuka kulikuwa hakuna maandishi.
In those early societies there was no writing as yet and people passed on these oral accounts with great detail and accuracy.
The earliest writing began when symbols were scratched or pressed on clay tablets. The Egyptians refined this technique and developed an early form of writing known as hieroglyphics. The Bible tells us that Moses was "educated in all the learning of the Egyptians", so he would have been familiar with the major writing systems of his time. Moses aliishi nyumbani kwa Farao, hivyo basi alipata benefits za Kifarao ikiwa ni pamoja na kujifunza communication skills zote za KiMisri. Misri wakati huo ilikuwa ni Dunia ya Kwanza. We also read that God gave Moses "two tablets of the Testimony, the tablets of stone inscribed by the finger of God"(Exodus 31:18). All this leads to the conclusion that the earliest writings in the Bible were set down around 1400 BC.
The writings of the thirty or so other contributors to the Old Testament span a thousand years! They recount the times and messages from Moses' successor, Joshua, to the last of the Old Testament prophets, Malachi, who wrote his little tract around 450 BC.
Then there is a 500-year period when no writings were contributed to the Bible. This is the period between the testaments, when Alexander the Great conquered much of the world and when the Greek language was introduced to the Hebrews. Indeed, they began to use Greek so much that the Hebrew language was replaced by Greek and by another language, Aramaic, which was spoken all over that area of the world at that time.
Hivyo basi, Moses alikuwa na ufahamu na uelewo wa kusoma maandishi na kuandika kutokana na baraka za Kifarao alizo pata wakati akiwa Misri, tofauti na nduguzake ambao walikuwa Misri kama watumwa. Moses lived in the Kings Palace.
Sasa, turudi kwenye lugha:
Wana wa Irasel walipo kuwa utumwani Misri, walitumia lugha ya Ketav Ivri until the Exodus from Egypt. Ambayo ilitumika mpaka mwisho wa Century ya 6 BC, ndipo Ketav Ivri walii replace na the Hebrew square script (Ketav Meruba ambayo inajulikana kama Ketav Ashuri)
Swali hapa ni kuwa, transition kati ya lugha hizi mbili ilichukuwa miaka mingapi na ilitokea wakati gani?
Moses aliyepewa Aseret Hadiberot alikuwa ni Kaka ya Miriam na Mume wa Zipporah.
Mwisho, naomba urudie kusoma post number 4 above.
Kuhusu lugha ni immaterial. Kwa vile sidhani nikisema kilikuwa Kiswahili ndipo utakapoamnini. Cha msingi ni kwamba Mungu anatufundisha ujumbe fulani kupitia Nabii Musa.
Ndio maana mimi nasema kuwa biblical narratives do not reproduce what exactly happened (e.g. God speaking to Moses verbally, no. They are theological reflections - ie they teach/have a message to tell us about God and ourselves).
Na kama 'atail na kuwa devil'... Mungu hawezi ku'fail'. Afterall devil is not a being. It's a personification of evil forces - uongo, chuki, uhasama, ufisadi nk.
Mwisho wa siku Biblia itabaki kuwa kweli kwa wanao iamini na vile vile itabakia kuwa upuuzi kwa wasioamini. Hii ndiyo maana ya imani (you believe/trust what makes sense to you). Mambo ya Mungu yako vile, kila mtu anaguswa kwa namna yake na kwa maana inayoeleweka kwake.
Imani inahitaji kujifunza unyenyekevu - "intellectual humility" na kuacha kiburi - "dry intellectualism". Ni dhahili kuwa kuna vitu tunavyovijua na tunaweza kuvielezea kwa ufasaha. Lakini pia kuna vitu tusivyovijua tunahijaji imani/trust kuvipokea. Hapa nina maana ya reasonable/responsible faith (believing because it makes sense in all circumstances that something is true) na siyo fideism (blind faith).
Tunapoanza urafiki na mtu fulani kwa vile hatuoni undani wa huyo mtu na jinsi urafiki wetu utakavyoenda (yaani hatuna empirical proofs za kujua alivyo A-Z) huwa tuna amini kuwa anachosema ni kweli au siyo kweli (depending on how we geuninely perceive the nature of our relationship).
Mtu akitaka kuoa au kuolewa kwa vile hamjui mwenzake kikamilifu huwa ana trust/believe kuwa mwenzake huyo ndiye anataka awe mume/mke wake na kutokana na imani hiyo, wanakaa pamoja kama mume na mke na kujenga familia yao. Trust inakuja pale ambapo kuna certainity either by intuition or experience of the nature of the relationship.
Kuna mambo mengi yanayoonyesha nafasi ya imani katika maisha yetu - ikiwa ni pamoja na kuamini kuwa tukiwa kazini familia zetu ziko nyumbani au kwamba tukifanya kazi kwa bidii tutafanikiwa katika maisha yetu.
Hapa tunahitaji imani kwa vile licha ya kuwa hatuwezi kuthibitisha kuwa mtu akifanya kazi kwa bidii atafanikiwa tumeng'amua (beyond reasonable doubts) kwamba ni kweli tukifanya hivyo. Faith is born out of doubts - what our intelligence accepts but fails to see clearly how and where it ends. There faith takes over.
So, faith is just a step beyond what I can genuinely reason and comprehend but it's linked to reason in the sense that what I believe must make sense to me personally. It may not, however, make sense to others at the same time because faith is a gradual journey and personal commitment.
Kwa hiyo, imani inahusu maana nzima ya uwepo wetu hapa duniani na hatima ya maisha yetu kama sisi lakini pia kama jamii na binadamu wote kwa ujumla.
Narudia tena mambo ya imani huwezi kuyathibitisha kama vile unavyoweza kuthibitisha kuwa 'mjusi' au mmea fulani ni kiumbe hai (bio) au ukichemsha maji yanakuwa mvuke. Mambo ya imani yanathibitishwa na jinsi mtu mwenyewe alivyoguswa na kuishi. "The heart has reasons the mind cannot understand," said Philosopher Pascal. Faith is about trusting/accepting what is beyond what's commonly known/perceived.
Darwin, unachojaribu kufanya wewe kinaitwa 'scienticism'. Yaani, una'force' science iielezee imani wakati haiwezekani. Sasa kufanya hivyo siyo kufanya kitu scientifically either. You cannot simply break scienfic rules and claim what you are doing is scientific; you are not!
Ukitaka kuongelea faith, ongelea metaphysics, ontology - what's beyond observable reality. Kwa vile hapa ndipo unapoweza kuielezea faith jinsi ilivyo. Na caterories zako za thinking lazima pia ziwe about things beyond empirical proofs.
Mind you, science haielezi kila kitu hapa duniani na wewe unataka kusema kuwa inaweza. Kuna disciplines zingine ambazo ziko 'well equipped' with tools of explaining 'faith' or the spiritual world but not science.
Mfano, should we say that what we don't know (what we haven't seen, touched, smelt, heard, tasted) doesn't exist?
Kuhusu Biblia, narudia: Ni Neno la Mungu - which was communicated orally and at a later stage was preserved in written form - lilielezewa na kuandikwa na binadamu, linaelezewa kibinadamu na kwa lugha ya kibinadamu. Kuonyesha hali hii ya kibinadamu, Biblia ina karatasi kutoka viwandani; imechapishwa na binadamu na imesanifiwa na binadamu na lugha imehaririwa na watu kulingana na mazingira yao na matumizi ya lugha, mila na desturi zao. Biblia ni neno la Mungu kupitia mikono ya kibinadamu.
Lakini pamoja na haya yote, Biblia inahusu ujumbe wa Mungu kwa binadamu na hatima yao. Inatumia lugha ya picha, nahau, methali, mifano na misemo katika kuwasilisha ujumbe wake. Mungu anaonyesha uwezo wake kupitia binadamu.
Ni kama creation narratives kwenye Kitabu cha Mwanzo zinaelezea Mungu kuwaumba wanadamu kwa kutumia udongo (anthropomorphism). Did it really happen that way? No. The stories want to convey a message of relationship between God, humans and creation (the universe).
Biblia inaelezea pia fadhila zinazomfanya binadamu awe mwadilifu na kuishi na binadamu wengine kama ndugu. Na ujumbe wake ni wa muda wote, mahali pote na kwa watu wote. Neno la Mungu ni Neno la uzima: it's dynamic na ni la waktai uliopita, wa sasa hata ujao na milele yote.
Vitabu vya historia vinaelezea matukio ya binadamu kutoka kizazi kimoja kwenda kingine na namna walivyokabiliana na mazingira yao. Vitabu vya bailojia vinaelezea viumbe hai na tabia zao. Lakini hatima binadamu na matarajio yao hayaelezwi na vitabu kama hivi.
Neno la Mungu/ujumbe wa Mungu unatoa changamoto katika maisha na namna ya kuyabadili ili yawe ya kumpendeza Mungu. Na bila kulitafakari hilo neno la Mungu hatuwezi kupata ujumbe wake. Neno lolote linalotuasa kufanya au kuacha kufanya kitu fulani lazima tulitafakari na kulifania discernment.
Vinginevyo hatupati ujumbe wake. Darwin wewe hauitafakari Biblia unaikariri tu na kwa kufanya hivyo, na kwa vile unachukua vifungu kadhaa out of context, lazima uwe na maswali kama uliyo nayo kwani huna imani na hivyo kuisoma kwako ni kazi bure. Biblia ni kitabu kinachohusu imani na siyo sayansi, civics au bailojia. Hivyo usomaji wake pia ni wa kiimani - unasoma sura au mstari fulani na unatafakari ili upate maana yake.
Lakini wewe ukisoma: 'Mungu aliumba dunia siku sita na ya saba akapumzika' unaona ni kweli siku zenyewe ni Jumatatu hadi Jumamosi na ile ya saba Mungu alipumzika kweli; ukisoma 'Yona alikaa ndani ya samaki siku tatu' unaona ni kweli alimezwa na samaki na baada ya hizo siku tatu samaki akamtema tena. Kusoma Biblia kwa namna hii hakumpi msomaji ujumbe wake. Ndiyo maana njia nzuri ya kusoma Biblia ni kufanya exegesis au hermeneutics ili kujua kitu gani kiliandikwa kwa nani, kwa nini na kwa maana gani.
Hayo uliyojiandaa kuyaleta yalete tu. Hakuna anayeyaogopa kwani kupinga kitu fulani siyo sababu kuwa kitu fulani siyo kweli wakati mwingine kunaonyesha tu uelewa mdogo wa mhusika mwenyewe. Actually, kupinga kitu hakumaanishi kuwa kitu fulani si sahihi basi kunaonyesha kuwa mtu fulani ama ameelewa vingine au hana habari za kutosha kuhusu kile anachokipinga kama unavyofanya wewe.
ni hivi lugha isiwe hoja.zile amri aliziandika Mungu mwenyewe wala Musa hakuziandika.Pia Musa alipewa vitabu vitano. kikiwemo kitabu cha Mwanzo.alipewa .Hakuandika.
Read post number 4.
Sawa ndg yangu uliye 'mwerevu'. Hao walioandika Bible ni wajanja hilo silipingi. Pia Bible si kitabu. Ni mkusanyiko wa vitabu.
Kweli unakichwa kigumu ndg yangu. Hapo nilikuwa nasisitiza hoja. Actually kama nilivyosema hapo kwenye nukulu kutoka wikipedia, account za ziada kumuhusu Moses zina umri wa karne kadhaa baada ya maisha yake. Kama unaakili timamu niambie hii manake nini?
ni hivi lugha isiwe hoja.zile amri aliziandika Mungu mwenyewe wala Musa hakuziandika.Pia Musa alipewa vitabu vitano. kikiwemo kitabu cha Mwanzo.alipewa .Hakuandika.
Mimi naona kama unapoteza muda wako kubishana na.............!!!!.ndugu yako huyu.
maana biblia inasema Mithali 26:4 "USIMJIBU MPUMBAVU SAWASWA NA
UPUMBAVU WAKE;USIJE UKAFANANA NAYE." Tena Mithali 15:21 "Upumbavu ni furaha kwake aliyepungukiwa na akili".
Kahinda karibu kwenye jukwaa ahsante kwa aya zako, zimetoka kwenye biblia
na angalia pia aya zangu ziliyotoka pia kwenye biblia
Kuna hii niliandika mwanzo siku zilee, je umeisoma?
Kama unakumbuka niliwahi kumuambia Max kwamba bible ni mish-mash
As for you believing the bible, you should believe that you know nothing, can by no means know gods intentions nor can trust what jesus c. says about himself:
Job 8 : 9 " For we are but from yesterday)and know nothing,"
Isaia 55 : 8 "For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways, saith the lord"
St. Shaughn 5 : 31 "If I bear witness of myself, my witness is not true"
Isnt that funny!?
Again
You can cite the whole bible from front to end and backwards, upside down or inside out, but that does not alter the simple fact that it is only a human artefact, produced by fallible men about the hearsay of hearsay of hearsay that someone said that god might have said. [hadithi za popobawa]
Without any trace of evidence that it was god or the devil or just hallucination.
Unless of course, you can show me a bible (or any 'holy' scripture for that matter) that has been created without any interference of man and doubtlessly can be ascribed to god and no other.
Mengine uliyoandika nakuachia tu uandike lakini hii ndio inayokubainisha kwamba huna unachojua.
Kwa maana hio Moses/Moshee/Musa anaweza kuwa ni mchina, au penginepo kulikua hata hakuna mtu anayeitwa Moses. Au penginepo alikua mmatumbi ni nani anajua!!?
Mwisho
Dini is attractive for those who cannot handle scientific uncertainty. They get bewildered, just like you.
Science is for the stronger minds, who can handle uncertainty and the probable fact (that we of course try to falsify) that we will never know all about everything, let alone can explain.
Ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye amejiandaa kutokukuelewa, ngumu sana! Max wewe una moyo mkuu, ni mvumilivu mno! endelea tu baba hata Sauli (Paulo) alikuwa na moyo mgumu hivyo kumwamini Yesu, lakini siku moja akauona ukweli. Naamini kwa moyo wako huo, siku moja Darwin ataitambua ile kweli, nawe utakuwa umezalisha talanta yako.