Ten Great Scientists of the World

Ten Great Scientists of the World

The following is the short description of top ten great scientist of the world. Go through the Link below.
10 Great Scientists of the World

Kwa nyongeza tu ni kwamba Einstein alipewa pia heshima ya kuwa Great Scientist of the Century. More over, Plato na aristotle siyo Scientists, ni philosophers ambao wamekuwa wakisearch wisdom not through scientific means, ila by "armchair thinking, na possibly by using pseudo-scientific means,... ambay inawaqualify kuwa philosophers tu bali siyo scientist! I love these people anyway, I wish I were like them! Looks like my life would have been very incomplete without their precendence to me, in this world!
 
hata hivyo naona kama list yako haijakaa vizuri, Niels Bohr hatakiwi ku-miss katika top ten, unless kuna kigezo kingine kilichotumika, km umri vile!
 
It is all well o wish to be like these great scientists.
I have no doubt that you read their biographies
Would you be ready to pay the price they paid for their greatness?:glasses-nerdy:
 
It is all well o wish to be like these great scientists.
I have no doubt that you read their biographies
Would you be ready to pay the price they paid for their greatness?:glasses-nerdy:
DrMosha
By asking such a question, you yourself apparently appear not to be! What a mess! Unless your not a real Dr!
 
List inamapungufu sana naona imeandikwa na shabiki tu kama MS.
Tesla anakosaje?
 
I am not convinced at all. What about Hassan Ibn Al Haytham?
Hebu msome hapa: Alhazen - Wikipedia, the free encyclopedia

Huyu naye nimemkubali. Sijasoma sana maelezo yake na hasa alichofanya, ila nadhani hakuweza kutoa theory yeyote kwenye field alizokuwa akizifanyia utafiti, na ndiyo maana pengine wamemsahau. However, good of him for the great work. Ahsante kwa kutujulisha kuhusu huyu bwana, nimempenda sana pia!
 
List inamapungufu sana naona imeandikwa na shabiki tu kama MS.
Tesla anakosaje?
Ndugu yangu Mutumbwi!
Hapana, hii list nadhani imezingatia watu ambao wameweza kuubadilisha ulimwengu toka wametoa theory zao hadi leo, nadhani haijazingatia scientists kutoka kwenye field kama zile za anthropology or any other of the like, which is actually true. Unless you are able to justify your query, then you should be able to convince evrybody otherwise!!
 
Nafikiri katika Waarabu (Persian), aliyekuwa mkali sana na hadi leo dunia inamtamka mara nyingi hata bila kufahamu ni huyu jamaa aitwaye: Abū ʿAbdallāh Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī . Jamaa hadi Warusi walitoa Stamp yake mwaka 1983.

447px-Abu_Abdullah_Muhammad_bin_Musa_al-Khwarizmi_edit.png

Jamaa ndiye aliyeanza kufanya mahesabu kwa njia hii ambayo leo watu wanaita ALGEBRA. Hili ni neno lililoanzia kwenye jina lake ambalo kwa Kireno ni Algarismo au ALGORITHM au kwa Ki-Spain ni Guarismo ambazo zote maana yake ni DIGITAL.

Hata walipoanza kuandika Program za Computer walikuwa wakitumia utaratibu wa huyo Mzee na ili kumuenzi, hadi kesho wataendelea kuita au kuandika ALGORITHM. Huyu ukiwauliza Wazungu wengi sana hata wale maprogramers, utakuta hawafahamu kabisa na wala hawajawahi kusikia ingawa kila siku wanalitaja jina lake na kutumia njia zake.

Jamaa alifanya vitu vingi sana na ni vema kumcheck kwenye Wikipedia kupata habari zake kwa ufupi tu.
 
Unapomuandika Newton, huwezi ukamuacha Robert Hooke.

Huyu jamaa na yeye, looohh, sijui nianzie wapi.

Kwenye Magari, majengo, Vyuma, Strength of Materials na takataka kibao ambao HOOK'S Law huwa inatumia, huyu jamaa ndipo unamvulia kofia. Katika maisha walikuwa hawapendani KABISAA na Isaac Newtons. Walikuwa wakishindana na kuibiana vitu walivyogundua. Huyu jamaa aliweka hii Graph ambayo hadi kesho itaendelea kutesa. Wahandisi wengi saana huwa inabidi kila kukicha wamtumie huyu jamaa. Binadamu pia tuna apply ugunduzi wake bila kufahamu.

image067.jpg

Kusema ukweli, wako wengi sana ambao kila siku tunatumia ugunduzi wao. Sijui yupi ni muhimu au maarufu zaidi ya mwingine.
 
Wote ni muhimu sana, ila ranking yao nadhani inaweza ikazingatia ni yupi alitoa fundamental idea na mwingine akaja akaitumia ku-come up na ideas zingine,.. vitu kama hivyo. Mfano, kanuni tatu za Newton, zilikuja kutumika na Einstein, halafu Niels Bohr akaja akatumia Quantum laws za Einstein. Hivyo tunaweza tukawa-rank mf hawa watatu kama Newton, Einstein, Bohr,...n.k. Ila sasa inapokuja kwenye recognition, hii inakuwa kama tunataka kuwapa zawadi, hivyo tunaangalia nani katoa idea nzito zaidi kuliko mwingine, ... na ndiyo maana mimi naridhika kabisa kwa Einstein kupewa tuzo ya mwanasayansi wa milleniamu 1001-2000!
 
Sir Newton alifanya mengi huwa ninamfeel sana uyu
 
Sir Newton alifanya mengi huwa ninamfeel sana uyu

Yes ni kweli, ila Quantum Mechanics ilikuja baada ya laws za Classical Physics kufeli, na ndiyo ikaweza kutoa mwanga na kuweza kuendelea hadi kufikia akina Niels Bohr waka-refute theory kama za akina Dalton (Dalton's Atomic Theory, 18th Century kama sikosei)
 
Back
Top Bottom