Ten Hag asidhani anaweza kumtegemea Rashford, anahitaji mshambuliaji wa maana

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Future ya Ronaldo klabuni Man Utd haieleweki.

Pia inaonekana ten Hag hana mpango na Ronaldo.

So Ten Hag amekuwa akimuanzisha Rashford kama ST au CF.

Wote tunaelewa kuwa Rashford hayupo consinstent. Jamaa ana miaka zaidi ya mitano tangu amekuwa first team lakini hauoneshi chachu kila week.

Kama Ten Hag hamuhitaji Ronaldo katika mipango yake basi inapaswa atafute striker wa maana January.
 
Mkuu lengo la ten hag ni martial awe mbele sio rashford sasa martial alivyopata injury kocha akawa hana namna zaidi ya kumuanzisha rashford.
 
Kufukuzwa Kwa Ten hang ni suala la mda mtu, January hatoboi
 
KUTOKA DM KWA MDAU WA MAN U

UKWELI MCHUNGU TEN HAGG KOCHA WAKAWAIDA

Najua wengi mtabisha na kukejeri ila Ten hagg hawez kutufikisha popote ,Ni kocha WAKAWAIDA Sana

Timu inacheza kwa kuvizia , timu bado haijafikia hata kiwango alichofikia Ole Gunnar, huyu Sasa Ndiye alikuwa anacheza ile pure kaunta Attack

Ten hagg tuliingia Chaka , pale Ajax Wana falsafa yao hata akienda Mourinho lazima afate kucheza total football ,

Ten hagg dirisha moja katumia £250m Cha ajabu timu inashinda kwa kukaa nyuma, mpira wa hivi utaumbuka tu, tulimfunga Liverpool mwenye Majeruhi 8, lakin mpira alituzidi, tukamfunga Leicester, Southampton kwa tabu huku kipind Cha pili tukikaa nyuma dhidi ya timu dhaifu

Tukamfunga Arsenal kwa staili ya ujanja ujanja huku tukipigiwa mpira mkubwa nyumban kwetu , hii inatosha kuonesha huu mpira wa ujanja Tutaumbuka tu huko MBELENI

Unapotumia £250m kocha mwenye mbinu timu itaonekana tu inavyosakata kabumbu, Angalia Brighton wametuzidi Nini lakini hawachez kwa kuvizia

Ole Gunnar alikuwa akicheza na timu za kawaida anazitawala ,timu kubwa atazifunga kwa Kaunta halisi ile ya Ferguson,

Huyu Ten hagg mnasema apewe muda ,sawa labda kila dirisha aendelee kupewa £250m had ifike £1Billions labda tutaona timu ikicheza mpira

Ole Gunnar aliingiliwa kusajiri akaletewa Ronaldo ambaye hakumuhitaji, timu ikayumba wakamtimua

Ten hagg kimbinu tutasubiri Sana, tusubiri miujiza tu ya kushinda kwa kubahatisha

Kuna watu wanasema kipind Cha pili dhidi ya man City tulicheza , wanasahau man city alishashinda na ana mech ya UCL kesho, pia mwez wa 10 Kuna mech kila Baada ya siku 3,

Kama Pep Guardiola asingefanya Zile sub tungeogelea magoli mengi Sana

Ten hagg Ni kocha wa kawaida,. Tutakuja hapa kutaka afukuzwe , dirisha moja kashatumia £250M na timu inacheza kwa kuvizia

Klopp mwaka 2018 alipewa £177.5m akaleta watu wa maana ndiyo Liverpool hii iliyosumbua misimu karibu mitatu

Pep Guardiola msimu wa pili alitumia karibu £200m ,timu ikaanza KUPAMBANIA mataji

Arteta mwaka Jana alipewa £150m timu ikaanza kucheza vzr sio kuvizia

Ten hagg dirisha moja kapewa £250m anataka timu icheze kwa uviziaji, hautafika popote

Tuchel alitumia £250m dirisha hili, akaanza kucheza ovyo, katupiwa virago
 
Sure thing
 
Back
Top Bottom