Tena?

Tena?

Kuita refa wa Tanzania ni sawa na mtu kumg'ata mbwa. Itakuwa news.

Huwa nacheka Kazi akichambua mechi kwenye kipyenga pale Azam Tv. Kazi huyo huyo aliyekiri kuchukua rushwa ya laki kule Songea.

CAF itapata refa popote sio Bongo.
 
Back
Top Bottom