Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Apr 20, 2019 #21 Kuita refa wa Tanzania ni sawa na mtu kumg'ata mbwa. Itakuwa news. Huwa nacheka Kazi akichambua mechi kwenye kipyenga pale Azam Tv. Kazi huyo huyo aliyekiri kuchukua rushwa ya laki kule Songea. CAF itapata refa popote sio Bongo.
Kuita refa wa Tanzania ni sawa na mtu kumg'ata mbwa. Itakuwa news. Huwa nacheka Kazi akichambua mechi kwenye kipyenga pale Azam Tv. Kazi huyo huyo aliyekiri kuchukua rushwa ya laki kule Songea. CAF itapata refa popote sio Bongo.
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,138 Apr 20, 2019 #22 SaaMbovu said: Mwandiko wako tu unaonyesha huelewi chochote. Click to expand... ni sawa na leo kachezeaha na alichezesha juve na ajax komaa boss
SaaMbovu said: Mwandiko wako tu unaonyesha huelewi chochote. Click to expand... ni sawa na leo kachezeaha na alichezesha juve na ajax komaa boss