Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

MOVIE N NDEFU NA NZITO UKISTAAJABU YA ANGELA UTAMWONA ....NYUMA YAKE BAKI NA ANGELA....KAZI N MUNGU TU AMSIMAMIE MH AONE YALIOSIRINI AWAREKEBISHE POLEN SANA
Aliye nyuma yake hajajulikana bado?
 

hahaha hiyo inaitwa ''bread and circus'', roman empire waliitumia sana hiyo strategy, walijenga uwanja mkubwa rome kama huu mwana fa anaotaka kuwajengea wa bongo flava na lengo lake ni kuwa entertain halafu mnasahau yanayoendelea, huku wakipora kila kitu na kuwageuza watumwa.

colosseum ya rome kuwapumbaza wananchi wasahahu yanayoendela, serikali inajenga colesseum tanzagiza pia kwa mujibu wa mwana fa ...

 
Kwa vile the source ya hii story ni CAG,na Bunge limeelezwa kuwa hakuna mtu muongo kama CAG,
View: https://youtu.be/A3PdHGkNi5I?si=Yyi9AmC3UIoNoDfX
Then kama waziri ni mkweli, then CAG ni muongo, hivyo na hii story itakuwa ni ya uongo!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…