Mwafrika mmoja Senior Member Joined Mar 15, 2019 Posts 104 Reaction score 234 Jun 10, 2025 #1 Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na kuendelea. Nicheki 0683535699
Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na kuendelea. Nicheki 0683535699
Ernest lukindo Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 162 Reaction score 116 Jun 11, 2025 #2 Upo srz n hii biashara nikupe watu
Mwafrika mmoja Senior Member Joined Mar 15, 2019 Posts 104 Reaction score 234 Jun 13, 2025 Thread starter #3 Ernest lukindo said: Upo srz n hii biashara nikupe watu Click to expand... Nipe watu bro...