GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Nauza pia natafuta uzabun wa ku supply sembe safi kabisa kwenye mashule na mashirika mbali mbali na watu binafsi pia,unga ni mzuri na umesagwa kwa mashne za kisasa kabisa.npo songea karbu na uwanja wa maji maji @ kilo 700 nyote mnakaribshwa
unaweza kunipm au nicheki thru 0752750598
unaweza kunipm au nicheki thru 0752750598