beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Kama mimi sipendi kupigiwa na mwenzangu anapenda kupigiwa nisimpigie ?hamjambo humu ndan jaman? Haya tena beby nasty ninajambo lakuwaeleza wote humu yan jamn watu wanapenda watendewe vitu vizuri wao tuu ila wao kutendea wenzao ni shughuli hivo basi nawaambiaa wapendwa wangu kama wapenda kupigiwa simu na we uwe mpigaji pia,
Nadhani hapa kuhusu vocha mtu anakuwa ameishiwa sasa taanza tu kutuma vocha wala sijaombwa si nitaonekana ninafuja pesa ?kama wapenda kutumiwa vocha na we hu uwe unatuma usipende kuwa dependent saana mtaachwaa hee. Ni hayo tuu wandugu. Nawapenda mnooo
Ni kweli lakini..., ila unajua nadhani mwingine ukituma vocha from no where labda atadhani umetuma ili akupigie simu, nadhani hapo kumletea kakiatu, kagauni au kachupa ka-juice atafurahia sana, au hata kupita kumsalimia au kutoka nae out.hehehhe umenichekesha sijamaanisha utume tume tuu na usipende fanya kitu mpaka uombwe smts kuna watu huwa hawapend kuomba so uwe responsible smts. Sun wu mic uu lakin
Jastbleiz ndo hivooooo darlinPole.... Umetuma halafu hataki kukutumia.
Asanteeeasante.....tumekusikia.....tumekufikia
husninyo mekumic atii
thubuthuu aaanze tuu nahis sio mzima bt mara nying nikimpigia anpokea sa sitaki muuliza tena afanye apendavyo bt siku ajichanganye anatupwa kuleee.husninyoo