tenda utendewe!!!

tenda utendewe!!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
524
hamjambo humu ndan jaman? Haya tena beby nasty ninajambo lakuwaeleza wote humu yan jamn watu wanapenda watendewe vitu vizuri wao tuu ila wao kutendea wenzao ni shughuli hivo basi nawaambiaa wapendwa wangu kama wapenda kupigiwa simu na we uwe mpigaji pia, kama wapenda kutumiwa vocha na we hu uwe unatuma usipende kuwa dependent saana mtaachwaa hee. Ni hayo tuu wandugu. Nawapenda mnooo
 
hamjambo humu ndan jaman? Haya tena beby nasty ninajambo lakuwaeleza wote humu yan jamn watu wanapenda watendewe vitu vizuri wao tuu ila wao kutendea wenzao ni shughuli hivo basi nawaambiaa wapendwa wangu kama wapenda kupigiwa simu na we uwe mpigaji pia,
Kama mimi sipendi kupigiwa na mwenzangu anapenda kupigiwa nisimpigie ?

kama wapenda kutumiwa vocha na we hu uwe unatuma usipende kuwa dependent saana mtaachwaa hee. Ni hayo tuu wandugu. Nawapenda mnooo
Nadhani hapa kuhusu vocha mtu anakuwa ameishiwa sasa taanza tu kutuma vocha wala sijaombwa si nitaonekana ninafuja pesa ?

Lakini nakubaliana na wewe ukitenda mema hata pale unapotendewa mabaya mshiwho wa siku utapata mazuri
 
hehehhe umenichekesha sijamaanisha utume tume tuu na usipende fanya kitu mpaka uombwe smts kuna watu huwa hawapend kuomba so uwe responsible smts. Sun wu mic uu lakin
 
hehehhe umenichekesha sijamaanisha utume tume tuu na usipende fanya kitu mpaka uombwe smts kuna watu huwa hawapend kuomba so uwe responsible smts. Sun wu mic uu lakin
Ni kweli lakini..., ila unajua nadhani mwingine ukituma vocha from no where labda atadhani umetuma ili akupigie simu, nadhani hapo kumletea kakiatu, kagauni au kachupa ka-juice atafurahia sana, au hata kupita kumsalimia au kutoka nae out.

Ila kuna ukweli na usemayo wewe ukiwa mtenda mazuri kwa watu nadhani hata wao itabidi waone aibu kukutendea mabaya
 
hilo nalo neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Copy that! When we give we receive!
 
thubuthuu aaanze tuu nahis sio mzima bt mara nying nikimpigia anpokea sa sitaki muuliza tena afanye apendavyo bt siku ajichanganye antupwa kuleee
 
thubuthuu aaanze tuu nahis sio mzima bt mara nying nikimpigia anpokea sa sitaki muuliza tena afanye apendavyo bt siku ajichanganye anatupwa kuleee.husninyoo
 
mh, so unamaanisha nasisi wanaume tukihonga ifikie hatua tusubiri kuhongwa na hao m-sis-duu!?
 
thubuthuu aaanze tuu nahis sio mzima bt mara nying nikimpigia anpokea sa sitaki muuliza tena afanye apendavyo bt siku ajichanganye anatupwa kuleee.husninyoo

hahahahahaha! Beibe wewe. Lol. Haya we endelea tu kuvumilia labda atajirekebisha.
 
Back
Top Bottom