05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
iwe funzo kwa watu kuwa na utu na moyo wa shukrani na pia kwa wengine iwe funzo la kuto kujitoa sana kwa watu Waka acha mambo yao
Kila mtu anapitia high na lows.
Hakuna mtu anapitia highs peke ake., hivyo kila mwanadamu huwa anakuwa na dharura kwa wakati flani maishani na atahitaji tu msaada wa watu wengine.
Japo nipo kwenye lows ila nimekutana na jama ang ambae alihitaji sana msaada kutoka kwangu,
Yupo mkoa ambao mimi ndo mwenyeji wake, katika mapqmbano ya hapa na pale jama akapendq kufungua biashara ambayo ni mzoef sana sana sana kwayo, na aliifanya hapo kabla hajakimbizwa na dharura zake huko mkoa mwingine ambapo after dharura hizo ndo kama mkoa niliopo mimi.
To cut the long story short ni kuwa biashara husika amepigwa figisu kubwa baada ya kujikuta amefungua biashara karibu na kibopa mkubwa wa mkoa husika.
Japo mwanzo watu wa mamlaka husika walimkubalia kuwa hata kama hajatimiza vigezo aendelee kisha baadae atatimiza tu vigezo ndo watampa legend na Vitali vyote ila baada ya kupigwa finish na huyo kibopa jama ikabidi afunge biashara hapo hapo siku ya pili toka afungue.
Biashara ni ya mali kuoza na katika kumpa support nilishinda pale since day two (ambapo day one hakuuza hata mia), sabab ni mitaa nilisomea chuo wana wakipita wananiona wananikumbuka wanajua ni goli langu basi nawakaribisha wanabless kutuungisha wana ahidi kurudi tena na tena basi unyama.
Jama naye kiukweli aka admire uwepo Wang as siku ya kwanza hakuuza hata Mia, basi bwana ile siku nilofika tu jioni akaja bwana afya na team yake , ilikuwa wampige faini kubwa na kupafunga ila yule mzee najuana nae vizuri sana akakosa nguvu kabisa hata ya kuendelea kufoka baada ya kuniona.
Akanichana kuwa nimalizie mzigo after that hatak kuniona pale mpaka hapo ntapo kamilisha vigezo (as nilijinasibu kuwa mimi n mmoja wa wamiliki)
#kama siyo hivyo yule kibopa amewashinikiza waifunge business kwasababu inampa unfair competition as jama ang hajatimiza vigezo wakati kibopa anamagoli takribani 20 na alilazimishwa akamilishe vigezo vyote ndipo afanye biashara husika...
# Sasa Leo wakiruhusu mtu asie na vigezo afanye business pembeni yake inakuwa ni unfair treatments wakati wote ni watanzania... deep zaidi akaongelea namna ambavyo yeye anauza bidhaa kwa bei ghari na jama ataweza akauza bidhaa kwa bei ya chini and still akamake competition.. so sio sawa kabisa jama na yeye atimize vigezo kwanza.
Jioni yake tena baada ya kukwepa McHale wa bwana afya ambao wakanambia nimalizie mzigo niondoke mpaka nitakapo kamilisha vifaa wakaja watu wa jiji wakapapiga utepe na hawataki kuelewa kitu, licha kwamba walimruhusu aanze ila hawakujua kama yupo karibu na kibopa aloenda kumchongea jamaa akidai fair competition..
Kulingana na Ile bidhaa pale ni mali kuoza, siku ya tatu since afungue biashara kwa ubize sana nikaforce sana jamaa apate kuuza mzinmgo juu chini, kabla hawajaja wale jamaa tea (muda huo pale nje wameshapiga utepe ule wa kufunga biashara)
Siku ya nne tukafanikisha kutoa mzigo wote na kufunga biashara, basi wale jama wanapopita kupiga patrol wanatukuta hatuna bidhaa yoyote tumetulia tutafanyaje maana jama ametumia mtaji mkujmbwa sana kurekebisha chumba na kununua mkataba wake na mfukoni hana pesa ya ziada ya kutosha kununua vifaa vinavyofeli ambavyo ukikaa sawa vinafikia walau m3 au 4.
Nimekimbizana kuanza kutafuta mtu wa kupakodi au kupanunua ili jama asiingie hasara kubwa tumefikia pakufikia mapambqno hayajafika mbali sana kwa side hiyo ....
Jama siku ya pili toka tumefunga business anaaanza kunidai hela nilizokopesha baadh ya mzigo (ili usije ukamuozea) ...
#Yani shida sio kudai shida ni anannidai bila hata lugha ya staha, Yan utadhani nilikua na shida nikachukua bidhaa nikapeleka kwangu labda.
Namchana kuwa * oy, Hawa nilowapa mzigo niliwa force kuchukua ko watatupa tu hela usiwe na wenge ....*
(Yan watu wa mwisho nlowakopesha mzigo kwa nguvu ili usije ukaoza waliahidi kulipa hela ifikapo ijumaa keshokutwa kutoka Leo hii naandika uzi)
Jamaa namwelekeza kistaarabu ila dah, lugha na namna ananikimbiza kimbiza kumpa hela nakua siipendi mpaka Leo nna andika huu uzi nimeona nimchane kuwa...
***""mwanangu najuta kukusambazia mzigo bora ningekuachia, sabab naonekana kama mimi ndo nimekuzingua na sio kukusaidia""
Baada ya kumpa hiyo sentensi #Though anajifanya kutoa sabab za kupanic moja na mbili. Ila bado naona ananipress nimpe hela yake.... (anatuma text kila baada ya masaa matatu mawili ananikumbusha)
Basi baada ya situation hiyo nikamtania kuwa mbona unamawenge mzee .... unahofu ntakimbia na hela ndogo hii kaka ??? Nikamdesh kumtumia hela yang ili mimi nikachukue kwa wateja jama akakubari bila aib wala kusita.
nimetoa hela yang binafsi Nika mbless af ilobaki nimemwambia namtoa kesho.
Ila katika kutest utu wake nimemuomba sana radhi.
Yani nimemuomba radhi sana sana sana kwakuchelewesha pesa yake ....
nae anakubari, etc ""SAWA kaka JITAHIDI BASI KESHO UMALIZIE. .....""
NAMJIBU SAWA MZE.
ILA NIKIMTOA HIYO HELA, HATA WATEJA NLOKUA NAMTAFUTIA WA KUKODI WALA KUNUNUA ENEO LAKE ATAWASKIA RADIONI.....
#TENDA WEMA NENDA ZAKO
#NIMEPOTEZA WIKI NZIMA HII NIMEACHA KUPAMBANA JUU YA BUSINESS YANG ILIOPO JUU YA MAGOGO KUMPA SUPPORT MTU AMBAE HANA UTU.