M Mr bons JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 1,309 Reaction score 1,489 Oct 31, 2022 #1 Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Oct 31, 2022 #2 Kwa dunia hii ya leo fanya tu yalio mazuri na kamwe usitegemee kuja kupata mema kwa mtu, tenda mema kwasababu Mungu ni Upendo basi!
Kwa dunia hii ya leo fanya tu yalio mazuri na kamwe usitegemee kuja kupata mema kwa mtu, tenda mema kwasababu Mungu ni Upendo basi!
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Nov 1, 2022 #3 Simama kwa miguu yako mwenyewe mkuu....hakuna atakaekuelewa