Tenda wema na panda mbegu ya upendo

Tenda wema na panda mbegu ya upendo

Mr bons

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,309
Reaction score
1,489
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
 
Kwa dunia hii ya leo fanya tu yalio mazuri na kamwe usitegemee kuja kupata mema kwa mtu, tenda mema kwasababu Mungu ni Upendo basi!
 
Simama kwa miguu yako mwenyewe mkuu....hakuna atakaekuelewa
 
Back
Top Bottom