Tenda ya ku-supply mahindi Zambia

Tenda ya ku-supply mahindi Zambia

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Natafuta kampuni inayo deal na kusafirisha mazao, kuna deal ya kusafirisha mahindi kwenda Zambia.

Ni deal endelevu ila kwa kuanzia, buyer anahitaji tani 30,000 za mahindi.

Buyer yupo Tanzania tayari, so inatakiwa kampuni ambayo ina operate tayari, yenye stock za Mahindi ambayo yamepigwa dawa.

Buyer yupo tayari kutembelea ofisi ya kampuni, then kwenda kuona stock ya mahindi, baadaye utaandaliwa Mkataba na kuwa signed.

Buyer atalipa 50% then the rest italipwa mzigo ukifika.

Kwa mawasiliano: 0688353255

NB: Biashara inatakiwa kufanyika /kuanza haraka
 
Bei ya unga ilivyokua juu saiz inaonyesha kabisa kuna uhaba wa mahindi. Naamini lazima kutakua na changamoto ya kusafirisha nje lakini kujaribu sio kushindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingi vinachangia Bei ya Mazao kuwa juu kwa Sasa ikiwemo Mvua zinazonyesha na kauli za Viongozi!

Ila Serikali ilisharuhusu Kuuza Mazao nje.
 
Nahitaji mtu mwenye Kampuni Mkuu! Kampuni ambayo ina operate.
Hujaeleweka....wenye kusafirisha ni wengine na wenye mzigo ni wengine- mimi mzigo niao na nina wasafirishaji pia ......Hao wazambia nilishindwana nao mara nyingi sababu ya bei zao kiduchu sana.kkama upo serious ni pm nione kama bei zinawezekana
 
Hujaeleweka....wenye kusafirisha ni wengine na wenye mzigo ni wengine- mimi mzigo niao na nina wasafirishaji pia ......Hao wazambia nilishindwana nao mara nyingi sababu ya bei zao kiduchu sana.kkama upo serious ni pm nione kama bei zinawezekana
Mkuu!
Nataka Seller aniambie ntakupelekea Mzigo kwa sh. Kadhaa kwa 1 kg, price ambayo inta include Transport, Ushuru, Mzigo n.k

Sina Mzigo, sina Usafiri, kuna hela tu Mkononi.
 
Back
Top Bottom