Nahitaji mtu mwenye Kampuni Mkuu! Kampuni ambayo ina operate.Unataka kampuni ya kusafirisha mazao? Au unahitaji mtu anayefanya biashara ya mahindi (muuzaji mahindi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa mahindi bongo itakua shida,nadhani option rahisi ni kutoa south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini iwe ngumu kutoa Mahindi Bongo wakati Serikali ilisharuhusu?Kutoa mahindi bongo itakua shida,nadhani option rahisi ni kutoa south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa wenye vibali ni rahisi kidogoKutoa mahindi bongo itakua shida,nadhani option rahisi ni kutoa south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushampataa?Kwa nini iwe ngumu kutoa Mahindi Bongo wakati Serikali ilisharuhusu?
Usijari Kaka, I'm coming....Mkuu tushikane mkono na kupeana hela za kutusogeza kimaisha , Kuna kampuni naifahamu .. Njoo dm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini iwe ngumu kutoa Mahindi Bongo wakati Serikali ilisharuhusu?
Vitu vingi vinachangia Bei ya Mazao kuwa juu kwa Sasa ikiwemo Mvua zinazonyesha na kauli za Viongozi!Bei ya unga ilivyokua juu saiz inaonyesha kabisa kuna uhaba wa mahindi. Naamini lazima kutakua na changamoto ya kusafirisha nje lakini kujaribu sio kushindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu.Nakuelewa sn ndg big up kwa moyo wako kutoa info kwa ndg zako watz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka....wenye kusafirisha ni wengine na wenye mzigo ni wengine- mimi mzigo niao na nina wasafirishaji pia ......Hao wazambia nilishindwana nao mara nyingi sababu ya bei zao kiduchu sana.kkama upo serious ni pm nione kama bei zinawezekanaNahitaji mtu mwenye Kampuni Mkuu! Kampuni ambayo ina operate.
Mkuu!Hujaeleweka....wenye kusafirisha ni wengine na wenye mzigo ni wengine- mimi mzigo niao na nina wasafirishaji pia ......Hao wazambia nilishindwana nao mara nyingi sababu ya bei zao kiduchu sana.kkama upo serious ni pm nione kama bei zinawezekana
Yapo pia Non GMO...Asilimia kubwa ya mahindi ya hapa ni genetically modified (GMO),,.
Sent using Jamii Forums mobile app