Tenda za miche ya miti

Tenda za miche ya miti

Joined
Nov 18, 2019
Posts
44
Reaction score
46
Habari wanajamii,

Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani.

Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja.

Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya gharama kupitia barua pepe chengowaanziwani@gmail.com au WhatsApp 0687087021

Asante.

images (7).jpeg
 
Hii miche kwa kasulu ni mingi sana.. sijaiona kwa dar
 
Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani.
Asanteni sana
🙏🙏
 
Back
Top Bottom