C Chengo Wa Anziwani Member Joined Nov 18, 2019 Posts 44 Reaction score 46 Jan 21, 2024 #1 Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya gharama kupitia barua pepe chengowaanziwani@gmail.com au WhatsApp 0687087021 Asante.
Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya gharama kupitia barua pepe chengowaanziwani@gmail.com au WhatsApp 0687087021 Asante.
FirstClass JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,100 Reaction score 1,363 Jan 21, 2024 #2 Hii miche kwa kasulu ni mingi sana.. sijaiona kwa dar
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jan 27, 2024 #3 Miti ya mbao ya mpapai
C Chengo Wa Anziwani Member Joined Nov 18, 2019 Posts 44 Reaction score 46 Feb 11, 2024 Thread starter #4 Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani. Asanteni sana 🙏🙏
Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani. Asanteni sana 🙏🙏