Tetesi: Tenda zote za Serikali na makampuni binafsi kuwa monitored na serikali, mawakala binafsi hawana nafasi tena

Huyu jamaa hasemi tu lakini anaipiga vita sana sekta binafsi.
Halafu utashangaa huenda kashauriwa na Kabudi na Bashite!
Ngoja muisome namba! Tuliwaambia siku nyingi mkawa mnatuona mafala.
 
Mitano Tena
 
Five moo
 
mawakala, mawakala.....Rais JPM aliwahi kusema kuwa aliona jina la Mama yake kwenye orodha ya wanufaika wa vocha za pembejeo za kilimo, na alipomuuliza mama ulipewa lini vocha za pembejeo? Mama akamjibu vocha ya Vodacom au ttcl? Kumbe wajanja walishafanya yao....Kuna mawakala sio wezi ila jinsi ya kuwatambua...piga chini wote kuanza upya sio Ujinga, hizo sio zama za janja janja ya wabongo!( Mimi pia nakiri niliwahi kula hela za hati punguzo za vyandarua)
 
Sawa mitano Tena mpaka muone ubaya wa yesu mliemtengeneza
 
tatizo letu tanzania kila kitu siasa.mtoa mada hujasema waz ni shetia mpya? huenda ipo kwenye makaratasi miaka na miaka na sasa inataka kusimamiwa unaanza kutisha watu.ma nchi yalionendelea unafikiri ishu nyeti mfano madawa uachwe tu uagize agize tu bila kuwa monitored na vyombo? acheni wataalamu wafanye kazi Tanzania ina sheria ikianza kuzifatilia makelele kibaoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…