NENO LA LEO
✓ Tendeni haki kwa wanyonge na walio chini yenu...
✓ Wasaidieni masikini na wenye uhitaji...
✓ Msijaribu kuchelewesha riziki za wenzenu...
✓ Walindeni watoto msiwadhuru wala kuwatelekeza kwasababu ya tamaa zenu za maisha...
✓ Pendaneni msifanyiane fitina wala ubaya wowote...
Hiyo ni ibada kubwa kuliko kupost nyimbo za dini, vifungu vya msahafu na Biblia Whatsapp.